Serikali imekanusha madai yanayodai ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo, huku taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch (HRW), Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema madai hayo...