Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mbali na hilo amesema amewasilisha...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo.
Haya yanajiri wiki...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa.
USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika orodha ya waliopigwa marufuku kushiriki shughuli za chama, Wakili wa CHADEMA ameibuka na kudai kuwa...
Wakuu,
Ofisi ya Msajili wa Ndoa nchini Kenya imeanza kuchapisha mtandaoni majina, picha, tarehe na maeneo ya harusi za wanandoa watarajiwa kupitia jukwaa la serikali la eCitizen, hatua ambayo imeibua mshangao na mjadala miongoni mwa wananchi.
Awali, utaratibu huo ulikuwa wa kawaida ambapo...
JF
Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA.
CCM mnatupeleka wapi.?
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025.
Soma pia: Heche amvaa Msajili
Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200.
Amesema “Hadi kufikia sasa (Juni 2, 2025) Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya karibia Sh Bilioni 900 kama mapato yasiyo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.
Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025
Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!.
Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.
Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.
Sasa hapa ni...