Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama...
Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!.
Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa JNICC ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, inatoa mafunzo ya Sheria mpya ya Gharama za Uchaguzi, kwa viongozi wa kitaifa wa vyama vyote vya siasa nchini.
https://www.youtube.com/live/joRKIIYROnk?si=1cVSWVZva0AACKkm
Karibuni
Paskali
NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameibuka hadharani na kutoa lawama nzito dhidi ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, akidai kuwa ilihusika moja kwa moja katika mchakato ‘usio halali’ uliomng'oa chamani yeye pamoja na viongozi wengine wa juu wa chama hicho kupitia...
Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego.
Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema.
Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi
Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu.
Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau wa utawala wa sheria.
Kama mnavyofahamu chama cha CCM kimetangaza mgombea wake miezi kadhaa...
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.
2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.
3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.
4. Takrima ya ugawaji vitu kama...
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,
Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....
Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba...
Wakuu,
Siku ya leo ndo ile siku ambayo Mahakama itaanza kusikiliza kesi ya CHADEMA baada ya kushtakiwa na wanachama wao wa Zanzibar kwamba wanatumia mali za chama vibaya
==============
Alichoandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche
Kesi ya kina Said Issa ni Kesi ya kisiasa kujaribu...
JF
Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA.
CCM mnatupeleka wapi.?
Wakuu
Huenda hizi amsha amsha za CHADEMA huko mikoani ndizo zilizomtoa Msajili wa vyama vya siasa kuja kusema chochote kitu? Au kuna kaupenyo kanatafutwa hapa.
====
Yah: MWITO KWA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU SHERIA YA VYAMA VYA
SIASA SURA YA 258
Naomba mrejee suala tajwa hapo juu.
2. Katika...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025.
Soma pia: Heche amvaa Msajili
Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.
Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025
Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.
Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.
Sasa hapa ni...
Vyama vya siasa nchini vinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, na Msajili wa Vyama vya Siasa ana jukumu la kuhakikisha kuwa sheria hizo zinatekelezwa ipasavyo. Hakuna chama kilicho juu ya sheria. Lakini ni wazi kwamba baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CHADEMA, akiwemo John Heche, wameamua kwa...