msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

    Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo: - Law - Journalism - Public administration - Social Work Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kujua ni madini gani haya

    Wakubwa msaada wa kujua haya ni madini gani. Ninayo kama kilo moja hivi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada ni mara ya pili sasa mbegu za nyanya chungu hazioti

    Habari zenu, naombeni msaada tafadhali. Ni mara ya pili sasa, na pia mbegu za nyanya chungu hazioti jamani pakiti linakaribia kuisha hata mche mmoja sijapata! Vilevile na pilipili hoho zimegoma!! Naombeni mnisaidie nijue nakosea wapi ndugu zangu. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, ujambazi unavyoshamiri Chato raia wanakosa msaada

    Siku ya tarehe 2, August, 2016 nilikiwa katika mji wa Mganza wilaya ya Chato nilishuhudia mfanya Biashara akitekwa na kuibiwa pesa million nane 8 Tshs. Mfanya biashara huyo bwana Kamba Tassian alipigwa na kutekwa na kunyanganywa pesa baadae alienda kituo cha Police kutoa taarifa lakini hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…