mrangi


 1. Tayukwa

  Aliyopo/ aliyefika Mweda Msumbiji

  Habarini za muda huu. Naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anapafahamu MWEDA Msumbiji Na viunga vyake tafadhali naomba ani PM
 2. Tayukwa

  Natafuta soko la kuuza konokono na jongoo wa shambani

  Rejea na somo hapo juu, nahitaji msaada wa kupata soko la mtu mmoja mmoja au kampuni ambayo inaweza kununua konokono na jongoo wa shambani na sio wale wa baharini. Ukinisaidia kupata soko utakuwa umenisaidia sana. Soko liwe ndani au nje ya Tanzania.
 3. rehema shabani

  colonial economy

  Distinguish setter economy from peasant economy in Africa during colonial period
Top