mradi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mradi wa Stiegler’s Gorge kuanza Julai

    WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kazi ya ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji ya Mto Rufi ji eneo la Stiegler’s Gorge, unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu. Dk Kalemani alisema jijini hapa jana kuwa hatua hiyo ya kuanza kwa mradi inatokana na kazi ya tathmini ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nape: Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge haupo kwenye ilani, sie tulinadi mradi wa gesi. Huu tumedandia tu

    Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
  4. K

    JamiiForums Tanzania WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf. Je wewe uko upande upi na kwanini? ======= WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
  6. JamiiForums Tanzania Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017. Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  8. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli...
  9. JamiiForums Tanzania Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

    Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini TANESCO hawatekelezi STIEGLER'S Gorge project?

    Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…