mradi wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  2. D

    Msakuzi - Machimbo hadi Makabe kukamilishiwa mradi wa maji ifikapo Julai 2026

    Wananchi wa Mtaa wa Machimbo, Kata ya Mbezi, wameonesha furaha yao kufuatia utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa huduma ya majisafi wa Msakuzi–Machimbo hadi Makabe, unaolenga kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo. Akizungumza kwa niaba ya wakazi...
  3. D

    Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo yaipa kongole DAWASA utekelezaji mradi wa maji Msumi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
  4. H

    Mwigulu Nchemba akagua maendeleo mradi wa maji Sinya

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha. Mradi huo unaotarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita 4,100,000 kwa siku, unatekelezwa na mkandarasi M/s. Zongii Contractors...
  5. L

    Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  6. E

    Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  7. McLaren

    Wananchi wagoma Mita kuwekwa kwenye mradi wa maji waliopata kwa wahisani na sio kwa Serikali

    Wakazi wa mtaa wa Maji ya Shamba wilayani Kondoa wameilalamikia KONDUWASA kwa kufunga mita kwenye mradi wa maji walioupata kwa msaada wa wahisani, wakisema mradi huo si wa serikali. Wameitaka mita ziondolewe ili waendelee kupata huduma kwa gharama nafuu. Mwenyekiti wa mtaa, Emmanuel Jonas...
  8. tonicimmobility

    Mradi wa maji uliokwama kwa miaka 11 wakamilishwa na Serikali ya Rais Samia

    Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mradi wa Maji wa Same–Mwanga–Korogwe ulianza rasmi mwaka 2014 baada ya utafiti wa awali kuanza mwaka 2006, lakini ulikwama kwa takriban miaka 20 kutokana na changamoto za kifedha, usimamizi, na mabadiliko ya mikataba. Soma pia: Rais Samia azindua Mradi wa...
  9. Roving Journalist

    GE2025 Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa

    Wananchi wanaonufaika na Mradi wa Maji Pangani - Kibaha wameipongeza Serikali kwa kuwatafutia suluhisho la tatizo la ukosefu wa maji lililodumu kwa kipindi kirefu katika maeneo yao. Sauti hizo za Wananchi, wamezitoa takribani wiki moja kupita tangu Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar...
  10. Nipe Maji

    GE2025 Waziri Aweso aagiza mradi wa maji Mpanda uharakishwe

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu shilingi bilioni 22.863. Akizungumza na Wananchi wa Mpanda baada ya kutembelea na kukagua eneo la...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali yatoa zaidi ya milioni 815 kukarabati mradi wa Maji Dihimba Mtwara

    SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara. Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Mtwara Hamis Mashindike alisema,kati...
  12. A

    DOKEZO Responded Baadhi ya Wakazi Mbezi Msakuzi (Dar) tunakosa Huduma ya Maji baada ya kukataa "kumtoa" Mhandisi

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, Mkazi wa Mbezi Msakuzi, Mtaa wa Makamba, jirani na Shule ya Msingi Makamba. Mtaani kwetu tumepitiwa na mradi mpya wa maji kutoka DAWASA, pamoja na kwamba baadhi ya Wakazi wamepata huduma hiyo, bado eneo letu halijafikiwa, licha ya kuwa na nyumba nyingi zinazostahili...
  13. USSR

    Mradi wa maji Nyakahura Biharamulo

    MRADI WA MAJI NYAKAHURA TANK LA MAJI LITA 400,000. Juu kushoto ni katibu wa CCM wilaya ya biharamulo Comrade Adam Soud na kamati yake wakiwa juu ya tank la maji nyakahura wakikagua mradi huo kuangalia jinsi ilani ya CCM 2010-2025 ilivyotekezwa ndani ya wilaya ya biharamulo chini ya uwakilishi...
  14. Nipe Maji

    PreGE2025 Eric Shigongo: Mama Samia amekubali kutoa milioni 40 kujenga mradi wa maji Nyehunge

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa. Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi waliomchagua na kwamba kama ni kuumia, yupo tayari kuumia kwanza kabla ya wananchi wake wa Buchosa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Wakazi 6,000 Ulaya Kibaoni Wanufaika na Mradi wa Maji Safi wa Milioni 174 kutoka World Vision

    Wakazi 6,000 wa kijiji cha Ulaya Kibaoni Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji safi na salama baada ya kukamilika ujenzi wa mradi wa usambazaji maji uliogharimu Sh milioni 174. 3 zilizotolewa na shirika lisilo la...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Aweso apanda na Suti yake kwenye Tenki kukagua mradi wa Maji Dodoma

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo. Katika ziara hiyo Waziri wa Maji ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde. Aweso ametoa wiki...
  17. W

    PreGE2025 Morogoro: Wananchi wanufaika na mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Mil. 600

    Wananchi wa Kijiji na Kata ya Mangae, Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wameanza kunufaika na mradi mkubwa wa maji uliotekelezwa na Wakala wa maji safi na usafi wa Mangira Vijijini (RUWASA), wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 600. Mradi huo, unatarajiwa kuwahudumia...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025

    Serikali inaendelea na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Singida na Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 2025. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameeleza hayo leo Aprili 14, bungeni jijini Dodoma wakati...
  19. Nipe Maji

    PreGE2025 Bilioni 13.5 zinatarajiwa kutekeleza mradi wa maji Sinya - Namanga

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo tarehe 14 April, 2025 ameshuhudia utiaji saini wa mradi mkubwa wa maji safi wa Sinya - Namanga wenye thamani ya shilingi bilioni 13.5 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Ildonyo, kata ya Sinya Wilaya ya Longido akisema hatua hiyo inaenda...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Mradi wa maji uliogharimu bilioni 3.10 unatajwa kunufaisha kata za Magugu na Mwada na wakazi zaidi ya 60,000

    Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
Back
Top Bottom