mpiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Tofauti ya Mpiga Kura Vs Muandamanaji tarehe 29/10 ni ipi?

    Polisi watatofautishaje huyu kaja Kuandamana, yule anaenda kupiga Kura? Kwa ninavyowajua Ndugu zangu wote mtawekwa kapu moja MTACHEZEA KICHAPO halafu baadae direct kituoni kuchangia uchakavu (kung'arisha viatu) au upelekwe kuzimu direct
  2. R

    GE2025 Meseji za TAKUKURU: Mpiga kura Makini hukataa hongo

    Wakuu, Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na mimi nilitumiwa huu ujumbe ila nikacheka sana maana wanahangaika na wananchi huku wahusika wanatoa...
  3. GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
  4. GE2025 Kailima: Taasisi na asasi zitoe elimu ya mpiga kura kwa weledi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na weledi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima...
  5. R

    Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  6. Itungwe sheria mpiga kura lazima awe na elimu kuanzia kidato cha nne huku mgombea kuanzia diwani awe na elimu angalau kidato cha sita

    Mtu asiye na elimu hajui thamani ya mali, ardhi iliyoko mbele zake. Hajui hata thamani ya kura yake. Nimeona movements huku mtaani wagombea wakigawa kuanzia sh. Elfu 10 na kuendelea ili wachaguliwe. Cha ajabu niliona wajumbe wanamteta mgombea fulani wakisema hana hela nani amchague. Huu ni...
  7. S

    GE2025 Mpiga Kura unaweza kuhakiki taarifa zako hapa

    Kwa tunaoenda kupiga kura waweza hakiki taarifa zako tume ya uchaguzi hapa https://vis.inec.go.tz/
  8. M

    PreGE2025 Kura ya Mtanzania ikipewa heshima viongozi watamheshimu mpiga kura kuliko mtu yeyote

    Kama muonavyo wajumbe wanavyotetemekewa nyakati hizi na ma kada mbalimbali ambao wanahitaji kuja kugombea katika nafasi mbali mbali katika uchaguzi Mkuu unapokuja japo kuna swala la no reforms no election. Hivyo ndivyo itakavokuwa kwa mpiga kura endapo kura yake itarejeshewa heshima yake. Kwa...
  9. PreGE2025 Mkurugenzi Kailima awaita Wananchi wa Dar kujitokeza kuhakiki, kuboresha taarifa zao Daftari la Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi...
  10. PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Ni kosa Kisheria kumiliki Kadi zaidi ya moja ya Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa kitambulisho kimoja cha mpiga kura. Kailima amefafanua kuwa, ikiwa kadi ya mpiga kura imeharibika kwa namna...
  11. W

    PreGE2025 Ungetamani mabadiliko gani kwenye Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura 2035?

    Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura. Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting kuona changamoto tulizoziona mwaka huu na ningependekeza yafuatayo: Kutumia Teknolojia: Tunahitaji...
  12. Nimepoteza kadi ya mpiga kura. Nilijiandikisha Jumanne, imepotea leo ijumaa

    Naombeni msaada wa mawazo wa jinsi ya kupata kingine kama inawezekana. Kumbuka: Uboreshaji wa daftari la wapiga kura bado unaendelea. Mwisho ni Jumapili hapa Daslam Nahofia kwenda kwenye kituo cha kura. Nahofia watanizaba mabanzi kwa uzembe
  13. P

    PreGE2025 Uandikishaji kupiga Kura: Umekutana na Changamoto na Kasoro gani kwenye zoezi la kujiandisha daftari la mpiga kura?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo; 1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza utaratibu wa kujiandikisha Kituo cha kujiandikia nilichofika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B...
  14. PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

    Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
  15. PreGE2025 Katibu UVCCM Dar atembelea Vijiwe na Vikundi kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura

    Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
  16. Serikali iweke utaratibu wa kuhariri taarifa za NIDA kama tunavyohariri taarifa za mpiga kura

    Kama ilivyo kawaida yangu, Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya NIDA hawataki kuwasogezea wananchi huduma kwenye vitongoji vyao Nikajibiwa NIDA ni swala nyeti...
  17. PreGE2025 Mwenezi Zangina Alivyokita Kambi Uandikishaji Daftari la Mpiga Kura Manispaa ya Morogoro

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya Manispaa akianzia Ofisi ya CCM Wilaya ya Morogoro Mjini na kufika kwenye Kata. Mwenezi Zangina...
  18. Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia

    Serikali mmeweka kipaumbele sana kwa wananchi kupata kadi ya mpiga kura kuliko kadi ya uraia. Mtaani kwetu vibanda vya kujiandikisha vipo ad leo na hakuna watu, watu wanasubiriwa adi wanatangaziwa mitaani mkajiandikishe, ila lilipokuja suala la NIDA walifanya chapchap wanafika saanne asubuh...
  19. PreGE2025 RC Dk. Batilda: Amewataka wananchi wa Tanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao. Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu. Soma Pia: Special...
  20. PreGE2025 Tume Uchaguzi: Wapigakura 594,494 wanatarajiwa wakuondolewa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa kukosa sifa

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020. Mkurugenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…