mpanzu

Pelly Ruddock Mpanzu (born 22 March 1994) is a professional footballer who plays as a central midfielder for EFL League Two club Cambridge United.
Mpanzu made two appearances for the DR Congo national team in 2021. He is the first footballer to climb from the non-league tiers of English football to the Premier League with the same club, having joined Luton in 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Goal la Ellie Mpanzu linafanana na lile goli la Ronaldo D lima

    Goli alilofunga kiungo mshambuliaji wa club ya Simba Sports Club " Ellie Mpanzu dhidi ya Young Africans siku ya jumamosi tarehe 10 October 2026 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBCPL (Kariakoo Derby) Linafanana na goal la Ronaldo de Lima alilofunga katika fainali za kombe la dunia dhidi ya Costa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ni tatizo, tatizo lenyewe ni uchoyo/kukaa na mpira badala ya kutos pasi!

    Simba wangefunga goli la kwanza mapema sana kama si Mpanzu kukaa na mpira bila kutoa pasi hadi kikabuma! Ina maana mwalimu huwa hamwambii?
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yalikuwa matusi makubwa kulinganisha Pacome na Mpanzu/ Ahoua

    Kwa niaba ya mashabiki wa Simba naomba radhi Kwa dhambi ya kulinganisha Pacome mchezaji wa World Cup akiwa na timu kubwa Cote D'Ivoire na magharasa yetu ya Mpanzu na Ahoua Leo tumewaona Mpanzu na Ahoua wakicheza kama wana Mabusha Nasema hivi Pacome hapa TANZANIA ana ulimwengu wake Naomba...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Uonapo Mpanzu, Ahoua na Kibu kwenye mstari wa 3 wa Simba tafuta tu Tangawizi ulegeze misuli ya kichwa

    Mstari wa tatu wa Simba SC unapoangaliwa, mara nyingi unapokea macho na vishawishi kutoka mashabiki na wachezaji wenza. Hapa ndipo tunapokutana na wachezaji watatu wa kipekee: MPANZU, AHOUA na KIBU. Kila mmoja ana sifa zake, lakini pia udhaifu wa kipekee unaochangia mitihani ya kichwa kwa...
Back
Top Bottom