mpangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpangaji wa Mikakati Dhidi ya TEC na Fr. Kitima atambulika

    GT Kwa ufupi sana 1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda 2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri. 3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre. 4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu...
  2. Wenye Nyumba: “Nataka Mpangaji Asie na Mtoto Tu!” Huu ni Uchawi au Roho Mbaya tu?

    Kuna matangazo kibao ya nyumba ambapo dalali anasema kabisa mwenye nyumba anataka mpangaji asie na mtoto/watoto. Issue ni nini? Wivu au Roho mbaya?
  3. Huu mkataba unambana mpangaji na kumbeba mwenye nyumba

    Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti...
  4. Uswahilini: Mpangaji atangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake

    Kila kukicha vituko havikwishi! Huku mtaani kwetu kuna mpangaji wa kike (single) ametangaza vita ya kuiba waume wa wapangaji wenzake. Amewaambia wapangaji wenzake kuwa atahakikisha anaiba waume wa wapangaji wote. Hii ni baada ya mpangaji huyo kutofanya usafi wa choo kwa mwezi mzima. Hivyo...
  5. Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

    Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi. Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao...
  6. Mpangaji aliyeishi Chumba cha giza kwa miaka Nane ili kufanikisha malengo yake

    Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika Mpangaji huyu na mume wake walikuwa ni miongoni mwa wapangaji kadhaa pale kwa bibi yangu,pamoja na kwamba...
  7. Naomba Ushauri, Mpangaji wangu 'kaniblock'

    Wakuu, Kama Kuna sehemu nmekosea labda mnambie ninyi. Kuna sehemu nna kibanda Cha wapangaji wanne huwa nakipangisha, Sasa Kutokana na mkataba. Kila mpangaji ananilipa Kodi yake kutokana na tarehe aliyoingia kwangu, na Kodi huwa napokea kuanzia miezi 6. Huyu mpangaji alihamia kwangu mwaka...
  8. Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

    Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka. Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
  9. Morogoro: Mpangaji afungiwa ndani Saa 27 na Mmiliki wa nyumba kwa madai ya kukiuka Notisi ya kuhama

    Wakuu, huu ni Uungwana kweli? Huko Marogoro mwenye nyumba kamfungia ndani saa 27 mpangaji kisa amekiuka notisi Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mmiliki wa nyumba Plot namba 149 BLOCK ‘A’ Kihonda Kilimanjaro, Dk. Lusako Mwakiruma ilioyopo Mtaa wa Kilimanjaro Manispaa ya Morogoro, amemfungia...
  10. Kodi ya Fremu alipe directly mmiliki wa Frem na sio mpangaji

    Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo. Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
  11. Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

    Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
  12. Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  13. Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
  14. Suluhisho la Manyanyaso Ya Bi.Mwajuma Dhidi Ya Mpangaji Wake Bwana Hassan

    Siku moja nilipigiwa simu na msomaji wa makala zangu za mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO. Msomaji wangu huyu alijitambulisha kwa jina la Hassan. Maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo: Kulikuwa na mwenye nyumba anayejulikana kwa ukatili wake dhidi ya wapangaji. Jina lake ni Bi. Mwajuma, mwanamke...
  15. Suala la Umeme: Mother House na Mpangaji kimenuka

  16. Hii mvua inaniletea tamaa ya kutaka kumla mpangaji mwenzangu ila nafsi inasita

    Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa. Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona...
  17. Mpangaji kama huyu unadili nae vipi?

  18. Unajisikiaje kuona Mpangaji mwenzio akiingiza wanawake kila mara?

    Umepanga mahali, halafu kila siku unaona Mpangaji mwenzio anaingiza Malaya ndani kwake. Unajisikiaje wewe kama Mpangaji? NB: UNA MKE NA WATOTO.
  19. Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu za kiuchumi zinamkera

    Wakuu habari, Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera. Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi. kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga...
  20. kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…