mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  3. JamiiForums Tanzania Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

    Kijasusi zinaitwa psyops. Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea. Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa...
  4. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoondoka nyumbani Kwa wazee mpaka kujitegemea

    Mnamo miaka kadhaa huko nyumba nilisoma sekondari nikiwa naishi Kwa ndgu. Sehemu ya makazi ya ndugu wale ninzaidi ya kilometa tatu. Nilivumilia mwaka mmoja mwaka wa pili nikahamia kwa Mzee ambaye tulikuwa na ukaribu upande wa mama. Tumuite Mzee Hasan, Mzee wangu huyu alikuwa akiishi peke yake...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya kampeni ni lazima,kwa nini CCM wasisubiri tu mpaka siku ya uchaguzi watu wakawapigie kura

    Niseme kwanza sitoshiriki kupiga kura,lakini naona ni jinsi gani viongozi wanamatumizi mabaya ya pesa,hii gharama ya kuzunguka inchi nzima kwa msafara wa viongozi na wapambe CCM wanashindwa kukaa nyumbani kuokoa gharama halafu wajitokeze tu siku ya kupigiwa na kupiga kura,maana kwa hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ni mengi lakini mpaka sasa hakuna aliyeweza kuzifungua code

    Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  9. JamiiForums Tanzania Nikiongea nae anatabasamu tu bila kunijibu Chochote. Mpaka nilipoambiwa huyo ni Kiziwi, Hakusikii

    Wakuu, hivi ushawahi kukutana na mtu yuko poa sana ila tatizo lake ni moja tu hasikii. Mimi niimewahi kukutana na changamoto hii kama mara mbili hivi. Moja kuna Mama mmoja mtu mzima sana nilikua kila nikipita nyumbani kwake namkuta anashughulikia bustani yake ila kila nikipita nikimsalimia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

    HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025 Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni Ubunge wa kuteuliwa Ukuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Agent wa kusafirisha mzigo toka UK mpaka TZ.

    Naweza kupata contacts za agent anbaye anasafirisha mizigo, pamoja na parcels toka UK kuja Dar. Awe na ofisi UK na Dar.
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

    Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fursa za uchaguzi wa CCM toka asubuhi nimeuza Kangala mpaka nimechoka.

    Wajumbe ni watu wema sana. Leo wamekula mitungi acha kabisa tangu saa moja asubuhi. Wamenipigia kangala mixer na kitoko, ambiance, Kigogo na kila kilichopita mbele yao. Sasa hivi wapo hoi wanasubiri majibu. Kesho ndio nitaenda kufundisha vijana wenu.
  15. JamiiForums Tanzania CCM wamesahau kuwa waliunda mpaka bunge la Katiba?

    CCM wanaposema kuwa hakuna muda wa kurekebisha Katiba, wamesahau waliunda mpaka bunge la kurekebisha Katiba?
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna Watu wanamaslai yao, wamemzunguka Rais watatendelea kusema tena mpaka 2035

  18. JamiiForums Tanzania Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya Samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu

    Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
  19. JamiiForums Tanzania Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

    Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…