moyo wa shukrani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Shukrani, Hatimaye Kapata mtoto

    Leo nimepigiwa simu ya shukrani, mama wa binti akilia machozi ya furaha, binti yake kapata mtoto. Mwaka 2024 mwishoni nilienda kijijini nilikozaliwa, nikakutana na binti aliyemaliza degree na badaye aliolewa na mtumishi mmoja wa serikali Lakini nilipokutana na huyo binti, kwa rika ni km mdogo...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

    Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Mwakajumba na moyo wa shukrani kwa rais Samia na wajumbe wa CCM Kyela

    BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari. Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya. Mwakajumba ni mmoja wa...
  4. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Kutoa huongeza moyo wa shukrani

    likuwa jioni ya majira ya baridi kali katikati ya jiji la Arusha, ombaomba na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano walikuwa na njaa kali ilio ambatana na hali ya dhoruba, Walikuwa wakitembea tembetembea katika mitaa ya Sanawali. Hawakuwa na chakula tangu asubuhi njaa ilio watesa...
Back
Top Bottom