moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA kwa sasa ni kama wanajenga mnara wa Babeli.chama ni kama hakina uongozi wala hakifanyi vikao wala kuwa na mipango na mikakati ya pamoja . Ndio maana kila mtu hujitokeza hadharani kwa kukurupuka na mihemuko na kujiropokea chochote kile kinachomjia Mdomoni mwake...
  2. Houth wanaupata moto sasa!

    Oil tanks burn at the port in Hodeidah, Yemen, Saturday, July 20, 2024. The Israeli army said it has struck several Houthi targets in western Yemen following a fatal drone attack by the group in Tel Aviv the previous day. (File photo: AP) Israel army says striking Houthi targets in Yemen The...
  3. Viongozi wa Marekani wapongeza kifo cha Hassan Nasrallah huku moto wa makombora ya Hizbullah na Houth ukiunguza Jerusalem na Tel Aviv

    Kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa Hizbullah japo kimekuwa ni huzuni kubwa kwa wananchi wa Lebanon na wapenda haki hata hivyo hakijaleta taswira ya kumalizika mapambano kati ya Hizbullah na taifa hilo la kiyahudi. Muda mfupi tu baada ya kutolewa uthibitisho wa kifo cha kiongozi huyo kombora zito...
  4. Hii game ya Bayern Munich na Leverkusen iko moto sana

    Binafsi napenda Bayern ashinde ila hadi Sasa kapigwa Moja
  5. G

    Ukicheza na Israel unacheza na moto: Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wametunguliwa

    Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako anaopigiwa anaweza kujimaliza mwenyewe kwa msongo wa mawazo.
  6. O

    Waliochomwa moto Handeni: Ni uhalifu au kisasi?

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/waliochomwa-moto-handeni-ni-uhalifu-au-kisasi--4774174 Credit:MWANANCHI
  7. Eti Iran anamshutumu Israel kwa kushinikiza machafuko zaidi utafikiri alimuomba hezbollah amchokoze. Yani unachezea moto alafu unalalamika unaangua.

    Hawa radicals wa middle east ni watu wa ajabu sana. Wana sugu ya fujo fujo ndani ya mioyo yao. Ni aina ya watu amabao wana taka uishi kutokana na misingi yao ya fujo fujo. Wakipigana na wewe hata kama unawashinda watataka ushinde wanavyotaka wao. Unasema unapigana na Israel kuitafutia haki...
  8. Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  9. Kichaka kinawaka moto 🔥🔥 panzi, buibui na wadudu wengine wamechanganyikiwa wanakimbia hovyo

    Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa! Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu waliokuwa wamejificha kwenye vichaka ghafla wamepanic wanaanza kurusha maneno na kupingana na uhalisia...
  10. Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  11. Iringa mkoa pekee unapeleka moto huku unaota moto

    Huamini kajaribu kwenda iringa uone
  12. CCM WANAJIMWAGIA MAJI YA MOTO WANASEMA TINDIKALI

    Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
  13. P

    Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  14. A

    Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

    Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii. https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67 Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄 Imefika...
  15. Anayetuhumiwa kumuua mwanariadha Rebecca Cheptegei naye aaga dunia akiwa hospitali

    Dickson Ndiema, mpenzi wa zamani wa Rebecca Cheptegei, amefariki hospitalini. Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Uganda, marehemu Rebecca Cheptegei, ambaye alikuwa akituhumiwa kumuua kwa kumwagia petroli na kumchoma moto, amefariki kutokana na majeraha ya moto aliyoyapata wakati wa shambulio...
  16. J

    Isiolo Girls High school inawaka moto, tuzidi kuwaombea ndugu zetu wa Kenya

    Ni breaking news hapo Citizen TV Taarifa kamili itawajia tuzidi kuwaombea. --- Property of unknown value was destroyed on Saturday evening after a fire incident at Isiolo Girls High School. This caused panic among parents and guardians even as locals rushed to the rescue of the students and...
  17. Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  18. Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  19. X

    Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

    Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto. Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
  20. Nashauri Watanzania tuanzishe utaratibu wa kuchoma moto maiti

    Ndugu zangu Waislam someni huu uzi hii ya kuzika mtu mapema mnaweza kuzika watu walio hai wengi sana. Na sio ajabu wanafufuka tena wakiwa kaburini halafu hufa kwa hofu na kukosa oxyjeni siajabu hupiga kelele sana mpaka wanakata roho.... Kwa sasa nimeanza kuogopa kuzikwa naona bora hi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…