moto unawaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jT0078

    Moto unawaka eneo la keko furniture -Dar

    Wale wanaotumia njia ya barabara ya Chang'ombe - Keko Dsm kuna MOTO mkubwa unawaka ktk moja ya majengo ktk eneo la keki furnuture upande wa kiwanda cha SUMA JKT. Nadhani barabara itakuwa imefungwa muda huu kutokana kuongezeka kwa moto. Watu wa usalama tunaomba muende eneo hilo.
  2. S

    PreGE2025 Jimboni kwa Bashe moto unawaka anapumulia mashine

    HALI ya kisiasa jimboni Nzega Mjini kwa Waziri wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe ni mbaya tofauti kutokana na kutokubalika na wananchi licha ya kutumia fedha nyingi kugawa kwa wajumbe na baadhi ya viongozi ili kumpigania ashinde kura za maoni. Suala la uzawa nalo linamtesa wakikumbushia mambo...
  3. Mlaleo

    Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
  4. N

    Moto unawaka ndani ya Kiwanda cha Cotex cha Africana (Dar es Salaam)

    Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu. Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.
Back
Top Bottom