motivational speakers

A motivational speaker is a speaker who makes speeches intended to motivate or inspire an audience. Such speakers may attempt to challenge or transform their audiences. The speech itself is popularly known as a pep talk.Motivational Speakers can deliver speeches at schools, colleges, places of worship, companies, corporations, government agencies, conferences, trade shows, summits, community organizations, and similar environments.

View More On Wikipedia.org
  1. RRONDO

    Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

    Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu. Mzigo wa mwisho nilitumia 1.8m kununua na mzigo kunifikia. Mzigo ulikuwa na items kama 185. Huu mzigo wote niliuza na...
  2. matunduizi

    Motivational Speakers wako sahihi: Bidhaa yao ni hayo maneno yao

    Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya". Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio...
  3. Hyrax

    Ukifuatilia post za Kelvin Kibenje utagundua jamaa anatembea tu na upepo wake hakuna analolielewa kwenye uhalisia wa biashara hasa hapa Tanzania

    Kelvin Kibenje ni Motivational Speaker kwenye ubora wake, ukifuatilia post zake kama akili yako ndogo utahisi jamaa ni genius kweli kumbe brain insight yake kuhusu reality ya biashara iko chini sana; Hoja zangu kuhusu anayotufundisha ni Biashara gani ufanye utoboe kwa namna gani, changamoto...
  4. R

    Biashara ni competition ya kikatili. Si rahisi kama wanavyosema motivational speakers

    Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa. Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye competition ua kikatili sababu mazingira yamejaa rushwa, siasa, ndumba, sheria legevu, n.k. usipokuwa...
  5. R

    Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

    Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
  6. R

    Wahubiri wakristo wa miujiza ni motivational speakers tu si zaidi

    Nawapa test kama ile test nabii Eliya aliyowapa manabii wa mungu wa uongo Baali. Waiteni kwenye makusanyiko yenu amputees( watu waliopoteza mikono au miguu) muwaombee warudishiwe viungo vyao. Si mnahubiri kwamba kwenye madhabahu zenu kwa jina la Yesu miujiza inatendeka?? Na si mnaalika watu...
  7. Mr Beach Boy

    Motivation speakers wanapata sana hela sio kwa gharama ambazo amenitajia

    Jamaa anataka 900k kwa mwaka kwa kunifanyia mentorship ya commercialization of talent and passion Sasa mkiwa kumi SI utajiri kabisa
  8. Infropreneur

    Mafanikio ni dhana pana sana, Motivational speakers eleweni kwamba, Kila mtu ana namna yake anavyo tafsiri mafanikio

    To whom brain 🧠 is given, Sense is expected. Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana. Kuna wimbi kubwa sana la Motivational speakers ambao wao hujiona kwamba ndio wana uelewa mpana sana kuhusu suala zima la...
  9. kante mp2025

    Baadhi ya Motivational Speakers ni matapeli

    Mwanzo nilikuwa muumini mkubwa wa hawa wa kuitwa motivational speakers ilikuwa haipiti siku sijasikiliza mausia yao kuhusu maisha hasa hasa mbinu za kupata utajiri na kufikia malengo maishani. Sikuishia kuwasikiliza tu nilienda mbali zaidi na kuyaishi maneno yao maana hawa jamaa wana principle...
  10. G

    Bill Gates na Mark Zuckbereg walikuwa matajiri walipoamua kuacha masomo, kijana usifuate kila unachoambiwa na motivational speakers, Utaangukia pua.

    Mark Zuckbereg - Facebook, Whatsapp, Instagram, n.k. Bill Gates - Microsoft Tayari walikuwa wametengeneza pesa, wana wafadhili wa projects zao...Wewe kijana unaetaka kuacha masomo kitu pekee unachomiliki kilaptop na simu unataka kuwaiga fikiria mara mbili, do your research. Sio hivyo tu, hawa...
  11. MamaSamia2025

    Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  12. Boss la DP World

    Malengo bila Pesa ni Porojo: Motivational Speakers Acheni Kulaghai Vijana

    Mara baada ya kuweka malengo yako, kitu unachopaswa kuwa nacho ni pesa za kufanya malengo yako yatimie. Vinginevyo hayo malengo yako yatakuwa kama pointi za Nyambari Nyangwine yaani Land alienation, Forced labour, Taxation, Low wages, Long working hours nk. Motivational Speakers...
  13. Elvis Legacy

    Tunaopenda kuwasikiliza motivational speakers na kupuuza tukutane hapa

    Kumekuwa na wimbi la motivational speakers kwenye social network mbalimbali hasa YouTube na Tiktok. Hao jamaa wengine wanajiita life coach, wengine mentors na hata guru. Ukiwasikiliza stori zao za mafanikio nyingine haziendani na maisha ya jamii tunazoishi. Unakuta mtu anasikiliza au...
  14. tamsana

    Tofauti ya Mfanyabashara, Mjasiriamali na hawa motivational speakers

    Picha inaongea yenyewe. Wavaa tai wapo wengi sana.
  15. sunv

    Motivational speakers, tunaomba mzungumze mambo yanayowezekana

    Hawa motivational speakers, hivi wanatuonaje sisi wamekuwa watu wa kuzungumza vitu ambavyo ni impossible kwa kutuaminisha kuwa vinawezekana. Kwa mfano: Kuna mmoja anasema alianza na mtaji wa mia tano mpaka sasa ana million 80 na ukimuangalia hafanani na hiyo million 80. Tunawaomba mzungumze...
Back
Top Bottom