Wakazi wa Makuburi, ninaomba msaada kuhusu moshi unaotolewa na kiwanda cha Mkapa Export kuanzia asubuhi hadi usiku, unatuathiri sana sisi wakazi, lakini mpaka sasa hatujaona hatua zozote za kutusaidia.
Kinachotushangaza ni ukimya wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, ambaye tunatarajia...