moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

    Kama naona Mpanzu, anavyo futa makosa leo, ataimbwa sana Trust me
  2. JamiiForums Tanzania Tz jeshi ni moja tu, Jeshi la polisi

    Kwa hali inavyo onekana Tanzania jeshi ni moja tu Jeshi la polisi wengine wote skauti
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Sumbawanga: Chaguo ni moja tu, ni Watawala kukubali kubadilika, Watu wamechoka wanahitaji mabadiliko

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Sumbawanga, Adolf Mkono akizungumza katika kongamano la amani na utulivu lililo fanyika Novemba 27,2025 katika ukumbi wa Nazareth Sumbawanga. "Chaguo ni moja tu, ni watawala kukubali kubadilika, watu wanamaumivu ya muda mrefu na wanahitaji mabadiliko."
  4. JamiiForums Tanzania TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Taarifa kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru itatolewa ndani ya siku mbili

    Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema: taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wiki moja iliyopita huyu MC ungemwambia angeuawa angejibu yeye ni CCM yupo salama

    Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama wanadhani wao hawataguswa. Kama ungemwambia huyo MC Kipilipili kuwa yaliyomkuta Ungo ni Kibeku...
  8. JamiiForums Tanzania Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

    GT Hao maaskofu wana msemo wao unasema " Don't argue with the fool"( Yaani usibishane na mjinga). inawezekana ikawa slogan fupi lakini ina ujumbe mzito sana. TEC wameshasema mara moja na hawajaja tena kusema lolote lakini BAR KWATA taasisi zote zime chomoza hadi za mchongo in short wanaongea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili: Swali gumu moja

    Huyu ni kijana CELEBRITY, Star (Nyota), Mtu "mkubwa", Influencer and many other celebrity titles. SWALI: INA MAANA ALIKUWA PEKE YAKE NJIANI KUJA DODOMA BILA WALINZI?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Tunaishi Mara Moja?

    Wajumbe, Poleni na Yanayo Endelea katika nchi ya kusadikika. Hivi karibuni nimepata wasaa wakutafakari kidogo kuhusu maisha, ulimwengu na Kifo. Nikafikia Conclussion kua dhana ya kusema tuishi mara moja, ilikua sawa sawia, Just imagine uje uishi tena hapa nchini Malawi uendele kushuhudia...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA mkoa wa Morogoro yaunga mkono kufanyika kwa uchunguzi vifo vya Oktoba 29

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. . Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nikizifuatilia hizi tarehe 29/10/2025 na 9/12/2025 katika numerolojia naiona nguvu ya aina moja

    Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba. Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5 =11+1+4+5 =12+9...
  14. JamiiForums Tanzania Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jambo moja linaniuma ni kitendo cha kuua watu ndani. A Way forward

    Hili jambo lilikuwa ni ugaidi wa hali ya juu na halitaiacha nchi Salama, mpaka viongozi wa CCM walipiziwe mbele ya watu. Mtanzania anayetaka kununua/kumiliki bunduki....
  16. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

    Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
  17. JamiiForums Tanzania CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

    Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
  18. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  19. JamiiForums Tanzania Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  20. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…