moi

The aliʻi were the traditional nobility of the Hawaiian islands. They were part of a hereditary line of rulers, the noho aliʻi.
The word aliʻi has a similar meaning in the Samoan language and other Polynesian languages, and in Māori it is pronounced "ariki".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbagala wakoshwa na huduma za Kibingwa za MOI

    Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE). Wakazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

    Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu...
  3. JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  4. JamiiForums Tanzania Emma Kiduku Charity Group wachangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa MOI

    Kikundi cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Ubongo Muhimbili (MOI). Kikundi hicho kilikabidhi msaada huo Mei 4, 2025 MOI, ambapo kiongozi wa kikundi hicho Bw. Emmanuel Madaha...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mazrui aipongeza MOI kwa huduma nzuri

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kwa wanachi wa Zanzibar wanaotibiwa MOI. Mhe. Mazrui ameyasema hayo leo Jumanne Mei 06, 2025...
  6. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  7. JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  9. JamiiForums Tanzania MOI tunashiriki Zanzibar Afya Week 2025

  10. JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  11. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Special Thread: Karibu tukuhudumie, tunaomba Maoni, Ushauri, Malalamiko, na hata Pongezi

    MOI tumeanzisha ukurasa huu rasmi kwa dhumuni la kupokea Maoni, Malalamiko, Ushauri na Pongezi kwa ajili ya kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa katika taasisi, pia kutoa ushauri kwa Umma kuhusiana na Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu, Fiziotherapia, Utengemao na Tiba Lishe...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyefanyiwa upasuaji wa nyonga na goti aishukuru MOI kwa Huduma Bora

    “Nilikuwa na changamoto ya nyonga na magoti kwa muda wa miaka 8, baada ya kufanyiwa upasuaji huo na Madaktari Bingwa kutoka MOI sasa naendelea vizuri” Bi. Apaikunda Massawe Mkazi wa Arusha
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa bilioni 10.8 kwa MOI kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)

    Serikali ya Awamu ya Sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 10.8 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya ameyasema...
  14. JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  15. JamiiForums Tanzania MOI: Mkitembelea Wagonjwa waleteeni Vyakula vya kuongeza damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini

    Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
  16. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Ayo TV, Eugene Peter apatikana MOI, alipata ajali ya Bodaboda

    Mwandishi wa Habari Eugen Peter ambaye leo asubuhi kupitia kurasa za Millard Ayo alitangazwa kutokujulikana aliko, amepatikana mchana huu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dar es salaam. Soma pia: Mwandishi wa habari wa Ayo TV, Eugene Peter amepotea na hajulikani...
  17. JamiiForums Tanzania How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…