Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto.
Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...