mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Nini Maana ya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Sekretarieti, Mkutano Mkuu?

    Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo. Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua. Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau kwa kundi Mhhimu la.Wanajamii forums na wasomaji wake tuweze kuelewa mambo haya kwa kiasi cha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Innocent Bashungwa anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Naona bado kuna namna Mheshimiwa Bashungwa anaandaliwa kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Nikiangalia ni kama anapitishwa hizi wizara mbalimbali ili...
  4. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
  5. JamiiForums Tanzania Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

    Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana. Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini auliwa na M23

    Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake kuwaunga mkono katika vita na kundi la waasi la M23, alimiminiwa risasi na kufariki hapo hapo. Baada...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe ofisi ya mshauri Mkuu wa Taifa ambaye atawajibika kwa Baraza la Mawaziri.

    Kwako Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia kufika muda na wakati tukiwa tu wazima wa afya na kuendelea kulijalia Taifa letu amani, umoja na mshikamano. Pia, nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe

    1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia risasi badala ya hoja. Rudisheni risasi mfukoni, nendeni shule mjifunze hoja. Wamarekani...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

    Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa. Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  12. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri: 2025 CHADEMA kushinda Uchaguzi Mkuu

    Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

    Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi. Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  16. JamiiForums Tanzania IDF Chief of Staff, Herzi Halevi atangaza kuwa atajiuzulu Machi 6, kwa kuwajibika kutokana na shambulio la Hamas la October 7

    Wanaukumbi. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Herzi Halevi amemjulisha Waziri wa Ulinzi Israel Katz kwamba anakusudia kujiuzulu mnamo Machi 6. Katika taarifa, Halevi anasema anaondoka jeshini baada ya "kutambua wajibu wangu kwa kushindwa kwa IDF mnamo Oktoba 7, na katika wakati ambapo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
  18. JamiiForums Tanzania Mstari huu ndani ya Biblia wachungaji wa kileo hawaupendi, wanauruka kama haupo kabisa, ingawa ndio msingi mkuu wa Ukristo

    Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni. Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  20. P

    JamiiForums Tanzania WIMBOMPYA: Hili ni Bonge la Wimbo wa Kuwanadi Lissu na Heche kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu, sikiliza hiki kipaji TOT wakasome

    https://youtu.be/mPmjrS_HcYk?si=9ZuRb3PSprgMakCN Wajumbe sikilizeni huu Wimbo kwa makini sana hakika Watanzania wanataka mabadiliko 2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…