mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road yamuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya jinsi Mtambo wa Cyclotron unavyofanya kazi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa idara amefunguka, eti " Ila una macho mazuri"

    Ukiona mkuu wa idara anaejifanya yuko serious, halafu from nowhere tu, kajikuta anafunguka. Na mimi sijamjibu hata kidogo, nikajifanya kama sisikii, mana alichoniitia hakikua hata cha maana, hii inaonesha ameshajaa. This is my power and I have to use It very subtly. Najua anaweza kujilaumu...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu: Mwajiriwa akipoteza ajira atapata mafao yake ya jumla ndani ya Siku 90

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia soma ~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) Dr. Mwigulu Nchemba. Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii adhimu kukupa pole, katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku, kulitumikia taifa letu la Tanzania, ili liweze kupiga hatua kubwa katika maendeleo yanayo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mirathi yetu inacheleweshwa kulipwa bila sababu za msingi na Kitengo cha Malipo ya Mirathi

    Hivi, Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua gani ya kufata ama ya kufanya? Ni muda mrefu pesa yetu ya mirathi tunazungushwa kulipwa na sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  8. JamiiForums Tanzania Tukiwa Kwenye Uapisho. Waziri Mkuu wenu anataka kufanya kioja

    Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa. Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana... Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi. Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

    Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania... Hufai Umeshindwa Huna weledi Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Israel ahutubia makamanda na wakuu wa vikosi vya IDF!!

    Mkuu wa Wafanyakazi, Eyal Zamir, alishiriki leo katika mkutano wa kamandi ya juu ya IDF, ambapo alihutubia mkutano huo. Maelezo Muhimu aliyoyatoa IDF ni jeshi la Nchi ya Israeli, jeshi lililojengwa juu ya maadili na nidhamu ya hali ya juu. Hata baada ya zaidi ya miaka miwili na nusu ya mapigano...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel ashtushwa sana na jaribio la kumuua Rais Trump, amshukuru Mungu kuwa Trump na mkewe wako salama

    Netanyahu ‘shocked by the attempted assassination’ of Trump Today, 9:56 am ) Prime Minister Benjamin Netanyahu says he is “shocked by the attempted assassination” of US President Donald Trump at a gala dinner in Washington DC. Netanyahu says he is relieved that Trump and the first lady are...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume!!

    Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…