mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Mkuu wa wilaya ya nyang'wale na mkurugenzi wa halmashauli kisaidieni kijiji hiki.

    Nikijiji cha ifugandi kipo kata ya busolwa wilaya nyag'wale mkoa wa Geita Kijiji hiki kimekuwa kisiwa , barabara ni mbovu kufika wilayani au katani na kupata huduma za hospitali nk.
  2. C

    Rais tunaomba uingilie kati kuhamishwa kimizengwe kwa Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa ndani Manispaa ya Ilala

    Katika Manispaa ambazo zilikumbwa na ubadhilifu mkubwa wa pesa za umma na kukosekana kwa systematic audit Manispaa ya Ilala iliongoza kwa kipinding kwa zaidi ya miaka kumi. Hiii ilitokana na kuwa na mkaguzi wa ndani ambaye hakuweza kuifanya kazi yake kwa weledi. Lakini mnamo mwaka jana 2020...
  3. Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…