mkuu wa wilaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    Tunapeleka taifa letu wapi? Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana .. Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto... Habari yenyewe ni hii👇 WATOTO AMBAO WAZAZI WAO NI WANACHAMA WA CHADEMA WASIMAMISHWA SHULE Mwalimu Mkuu (REGIUS...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ashiriki kupiga Kura katika Mji Mdogo Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu. Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Muheza ampigia magoti Waziri wa Maji kuomba Maji wilayani kwake

    Siasa za Tanzania. DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza. Accountability imefikia huku
  5. JamiiForums Tanzania Mwananchi Arusha adai ametukanwa na kuchapwa makofi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, DC asema "aende Mahakamani"

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha kifo cha mama yake mzazi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo. Getrude akizungumza na GADI...
  6. JamiiForums Tanzania Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Chamwino awapa kazi maalum Wenyeviti CCM / Mabalozi kuhusu uandikishaji

    Kwa sasa ndio nimeelewa kwanini cheo cha Mkuu Wilaya kinapigwa vita na akitakiwi kuwepo kabisa ni cheo cha kichawa kinachoingiza hasara tu ya kodi za wananchi. Siku ya jana Alhamisi tarehe 17, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Janet Mayanja ameitisha mkutano wa Wenyeviti wa CCM Kata na...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  10. JamiiForums Tanzania Kama umeajiriwa wewe bado ni mtumwa na bado hujiamini, kama unajiamini jiajiri mwenyewe!

    Kama umeajiriwa wewe bado ni mtumwa kwahiyo bado hujiamini, kama unajiamini jiajiri mwenyewe.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kushindwa kuchukua hatua dhidi ya aliyekuwa DC wa Longido, wanatupatia ujumbe gani?

    Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu kwa ujumla. Nchi hii kumekuwa na matukio ya kishetani kabisa, matukio ya kuteka, kutesa na kuua...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Nape na Mkuu wa Wilaya ya Longido kuwa serikali ya CCM inalazimisha ushindi katika uchaguzi zinahalalisha kuindoa CCM madarakani kwa nguvu

    Kawaida, chama cha siasa kilichopo madarakani kwa kuchaguliwa ki-demokrasia, hakipaswi kuondolewa madarakani kwa nguvu. Uhalali wa kuiondoa serikali madarakani unapaswa uwe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi wa kidemokrasia, na kama kuna ukiukwaji wa haki za uchaguzi, mfumo wa sheria wa...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi Septemba 2, 2024: Rais Samia ateua na kuhamisha vituo vya kazi viongozi mbalimbali

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Busega atoa pole kwa familia iliyompoteza kijana wao katika maandamano

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim ameta pole kwa familia ya Mzee Daudi ambayo imempoteza mtoto wao, Meshaki Daudi aliyefariki kwa kupigwa risasi wakati wa Maadamano yalitotokea maeneo ya Lamadi, Agosti 21, 2024 Mkoani Simiyu.
  16. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  17. JamiiForums Tanzania Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
  18. JamiiForums Tanzania Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

    Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen. Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

    Amani iwe nanyi. Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na kufungia kituo cha kuhifadhisha Quran. Alitoa amri kuwa wanafunzi warudi makwao na akasema kuwa kitendo...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Ubungo ajitafakari uwezo wake ni mdogo sana

    Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake. Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi, hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…