Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku.
Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi.
Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...