Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema anafuatilia madai kuwa kuna taarifa za Shule ya Msingi Nyanga English Medium kukiuka taratibu za udahili na kwamba kuna mazingira ya kupeana nafasi ya Mwanafunzi kusoma hapo kwa njia ya “kujuana”.
Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Kuna mazingira ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda, ameisihi jamii ya Kitanzania kuwaepuka watu aliowataja kufanya uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani katika taifa, akisema ikiwa jamii na viongozi wataruhusu hayo, itasababisha madhara ambayo ni vigumu kuyashughulikia. Mtanda ameeleza hayo katika kongamano...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza- Said Mtanda, Katibu Mkuu Wizara ya Maji- Mhandisi Mwajuma Waziri pamoja na timu ya wataalamu wa Wizara ya Maji wakipita nyumba kwa nyumba kukagua upatikanaji wa huduma ya majisafi baada ya kukamilika marekebisho ya mtambo wa kusukuma maji uliopata hitilafu, Mradi wa Maji...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3.
Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
Wakuu,
Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha.
Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume!
Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema kuwa wananchi ambao hawakupata nafasi ya kujianfikisha mara ya...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda, ameshtushwa kwa kufungiwa Uwanja wa CCM Kirumba na kuuagiza Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza MZFA kuiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB kuja kukagua Uwanja na waainishe mapungufu yaliyosababisha Uwanja kufungiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.