Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu wake) tunaishi mikoa tofauti na after hapo nikawa nahudumia mpaka kujifungua, baada ya kujifungua akawa...