mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKANDAHARI

    JamiiForums Tanzania Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

    Habari za humu ndani ndugu wataalam, Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko kawaida. Kwa mfano akijikojolea tu ndani ya dk zisizozidi 2 mkojo wake unatoa harufu kali sana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kubana Mkojo kwa muda mrefu

    Kulegea kwa misuli ya kibofu na kusababisha kushindwa kuzuia mkojo Hupelekea kushindwa kutoa mkojo wote Husababisha UTI, kutokana na bakteria wanaojitengeneza kwenye mkojo Husababisha maumivu makali chini ya Tumbo Ukibana mkojo kuanzia masaa 10 na zaidi inaweza kupelekea mishipa ya kibofu...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TMDA: Ukitumia antibiotiki na usipokojoa mkojo wenye harufu, jua hiyo ni bandia

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba Nchini (TMDA), Bw. Adam Fimbo ametoa rai kwa jamii kutambua dawa zote za antibiotiki (Antibiotic) endapo watazitumia kwamba ni lazima iwe na matokeo ikiwemo harufu katika mkojo wa mtumiaji baada ya kutumia. Bw. Fimbo ametoa rai hiyo wakati wa...
  4. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Mossaid ya Israel walivyoiba mkojo wa Hafez al Assad Rais wa Syria

    Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia yeye tu pale alipoudhuria mazishi ya mfalme Hussein wa Jordan. Ilikuwa si rahisi kwa walinzi wa Hafez...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kushtua: Mkojo wa Wajawazito wageuka kuwa biashara kubwa

    Inadaiwa kuwa mikojo ya Wamama Wajawazito imegeuka kuwa biashara kubwa huku mahitaji yake yakizidi kuongezeka Bidhaa hiyo iliyogeuka kuwa lulu kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani Jijini Dar es salaam inadaiwa kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo tiba ya maradhi kadhaa. MCL...
Back
Top Bottom