Adolf Faustine Mkenda (born in 1963 Rombo, Kilimanjaro), is a Tanzanian Minister of Agriculture. An associate professor of Economics at the University of Dar es Salaam and a politician who presently serve as a Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Rombo constituency since November 2020.
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza...
ajira
ccm
hana
hii
kauli
kudharau
makosa
makubwa
mkenda
msimamo
ndani
pabaya
prof. mkenda
profesa
rais
rais samia suluhu
uzalendo
viwanda
waziri wa kilimo
Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini?
Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuondolewa kwa Kaimu Meneja wa Kitengo cha Ununuzi wa mbolea kwa pamoja (BPS) kilichopo Mamlaka ya Mbolea Tanzania (TFRA), Nganga Nkonya.
Waziri Mkenda ameagiza kaimu meneja huyo aondolewe na arudishwe wizarani kutokana na kushindwa kuwahudumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.