mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  2. F

    Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

    kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi, mimi nimeoa mwaka 2014 mpaka sasa Niko na watoto wa3 watoto wangu nawashughulikia kama Baba vizuri...
  3. Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika. Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya! Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
  4. Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

    Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake...
  5. Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
  6. C

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  7. Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  8. Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  9. Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

    Nataka mke wangu siku zote awe soft, young elegant and flourishing, sitaki aonekane mzee, Naombeni uzoefu kuanzia moangilio wa uzazi na mambo mengine Shukran
  10. Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Kwema wakuu! Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo. Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu. 1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30) I. uzuri wa sura 10% ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10% iii) Rangi maji ya...
  11. Mke wangu msaliti

    Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika. Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo. Juzi...
  12. Hapa mke wangu kanidanganya

    Wakuu habari za uzima? Leo jumamosi imeambatana mvua kubwa sana kwa maeneo ya dar es salaam. Mke wangu aliamka saa11 alfajiri kutengeneza maadazi, sasa kipindi anatengeneza akaanza stori zake kwenye biblia. Yeye: unajua mme wangu miongoni mwa stori nzuri za kwenye biblia ni kisa cha yesu...
  13. F

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  14. K

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  15. Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  16. Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  17. C

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  18. Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  19. K

    Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  20. Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na michezo ya hapa na pale.] " • Mke wangu huwa anafurahia sana kutazama na kuimba pamoja na watoto wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…