Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila...