Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kumpa Taarifa Mke wa Lissu kuwa kama anataka kumuona na kuonana na Lissu basi apande ndege na kuja Nchini ili aende gerezani kuonana naye na siyo kuongea ongea na kujilalamisha kwa wazungu kana kwamba amezuiwa kuja kumuona lissu Gerezani.
Aache mara Moja...
Wakuu,
Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa
Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania
Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...
Alicia Magabe Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza katika Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026.
https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=W3TwYxnjA2tClQrR
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.