mke wa kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia 18 - 27 awe bikra

    Natafuta mke wa kuoa awe kuanzia umri 18 - 27 awe bikra, nipo mkoa wa dar es salaam, Nina miaka 28. karibuni. Nicheki pm
  2. A

    Natafuta mke wa kuoa seriously 20-25

    Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
  3. M

    nahitaji mke wa kuoa aliye tayari

    mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
  4. Tumbili in town

    Nataka mke wa kuoa

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana . Sifa zake ziwe; Awe umri kati ya 19-23 Muislam Kabila lolote Awe brand new (BIKRA) awe na uzioto 48-56 Elimu yoyote isipokua chuo Awe mwembamba mwenye shepu Akiwa na dimpoz itapendeza zaidi Asiwe na mtoto Mrefu...
  5. Griss

    Natafuta mke wa kuoa

    Nipimu mwenye yupo serius !!
  6. Griss

    Natafuta mke wa kuoa

    Kama upo tayari nifate dm
  7. RUKUKU BOY

    Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  8. TIASSA

    Natafuta mke wa kuoa 25-30

    nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli, mimi na miaka 36 ni mfanya biashara.
  9. N

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  10. N

    Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  11. Muimba SINGELI

    Ningepata tabu sana juu ya kumpata mwenza Kama ningezaliwa na kukulia nchi zifuatazo

    1. India 2. China 3. Korea 4. Japani 5. Uingereza Na nchi zote zinazo fanana na hizo. kwanini ningepata tabu? Kwa sababu maumbo ya warembo wa mataifa yaya siyo rafiki kabisa na machaguo yangu linapokuja suala la mapenzi. Ningempata wapi mwanamke mnene na mweusi kwenye mataifa haya...
  12. Natafuta Ajira

    Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

    Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na...
  13. Troubleshooter

    Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  14. Baba Kisarii

    Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

    Utasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..." 1. Singida. 2. Tanga. 3. Dodoma. 4. Simiyu. Hapo hapo utasikia wakikushauri kwamba.... "jitahidi upate mke atoke mikoa kama; 1. Mwanza 2. Bukoba 3. Kigoma 4. Mbeya Usipotoshwe tafadhali.. Tabia nzuri au mbaya ya...
  15. Kipenzi Changu

    Natafuta mke wa kuoa kabisa

    Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
  16. The patriot man

    Nahitaji mke wa kuoa

    Nina miaka 33 Dini mkristo Elimu Degree Kazi muajiriwa Natafuta mke asizidi miaka 30 Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni. Kigezo Awe tuu na hofu ya Mungu. Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa Dini yeyote
  17. Raia mpya

    Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

    Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya? Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
  18. A

    Natafuta mke wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Naishi Morogoro Dini mkristo Kazi ni mwalimu Mke awe na sifa hizi; Mrefu kiasi Awe na kazi sio golikipa Miaka 20_27 Awe na tabia njema Ukiwa na sifa hizo please nicheki PM
  19. Disney2

    Natafuta mchumba/ Mke

    Wana Jf nimechoka na ukapela Kwa ufupi tu Nilioa na ndoa yangu imevunjika miaka mitatu iliyopita. Tuligawana tulivyo chuma kila mtu ana maisha yake na kwake Nimejipa time ya kujiangalia na ushauri wa wazee ninaona napaswa kuoa tena ni jenge familia tulivu Vigezo Umri:Miaka 30-40 Dini: Yoyote...
  20. Muimba SINGELI

    Wakati unachagua mke wa kuoa mtazame pia mama yake

    Salamu wakuu, Ikiwa utaamua kuoa kwa lengo la kuishi na mwanamke hadi mauti yawatenganishe usipuuze huu ushauri. Ushauri huu nautowa kwa wale ambao tayari wameyapatia maisha kwa wewe kijana masikini na unaejitafuta Kama mimi acha kabisa kusoma huu uzi, kwa sababu wewe ndoa haikufai, tena kaa...
Back
Top Bottom