Ushawahi kuona mtu ana lalamika na asie na shukrani zaidi ya mtoto wa kambo.
Ushawahi kuona mtu ana kihele hele zaidi ya mtoto wa nje ya ndoa?
Ushawahi kuona mtu ana roho mbaya zaidi ya mtoto wa mamdogo?
BASTARD CHILD.🚮
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali.
Ilibidi wakae nae, waomboleze nae msiba na sio kumtenga.
Ubinadamu, utu ni muhimu kuzidi Mali, pesa na umaarufu.
Ikiwa huyu...
1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni.
2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri wa Maji. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu?
VIJANA mkajiajiri
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa.
Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Wende Luchagula (30) mkazi wa kijiji cha Milonji kata ya Lusewa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, anadaiwa amewaua watoto watatu wa mke mwenzie kwa kuwachinja na kitu chenye ncha kali shingoni kwa madai kuwa mumewe anampenda zaidi mke mdogo pamoja na...
Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao.
Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na...
Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili).
Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake kuwa yeye ndio mkubwa asali alambe yeye kwa uhuru wengine anawapangia.
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.