mkanganyiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tangazo la tuwapishe Wazee wapate Huduma za kijamii Kwanza liboreshwe ili lisilete mkanganyiko na migogoro Kwa watu

    TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO Anaandika Robert Heriel. Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
  2. Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  3. L

    Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo. Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa Morogoro. Nilichokisikia sikuamini. Watumishi wengi wa kada moja iliyopewa kipaumbele cha kupata hawataki...
  4. L

    Naomba ufafanunuzi wa mkanganyiko juu ya concept ya torque na horsepower

    Habari wakuu! Kwa muda mrefu nimekuwa nikapata changamoto ya kutofautisha kati ya torque na horsepower. Katika jitihada zangu za kusoma nimeelewa kwa sehemu kidogo lakini kuna jambo linanichanganya kuhusu concept hiyo ambayo imenipelekea kuja kuuliza swali humu. Taking a case study of an IC...
  5. Waziri Dkt. Mwigulu atoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu na kuleta mkanganyiko kwa wananchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 na kuleta mkanganyiko kwa wananchi ikiwemo makato ya miamala ya simu, kodi ya majengo kwa njia ya...
  6. D

    Rais Samia abaki na Urais, Uenyekiti wa chama apewe mwingine ili kuondoa mkanganyiko

    Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi! Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais! Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja! Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea...
  7. 2

    Mkanganyiko wa kauli ya Rais na hofu ya serikali dhidi ya vyombo vya habari

    Ukifatilia kwa makini mjadala unaoendelea wa kauli ya Rais dhidi ya vyombo vyahabali utajiuliza nini hofu ya serikali dhidi ya vyombo habari, hii nikwasababu haihitaji mtu uwe na PHD kuelewa kuwa Rais alitoa agizo vyombo vyote vya habari vilivyofungwa vifunguliwe. Kwa mfano kwanini eti aseme ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…