mjini magharibi

Mjini Magharibi Region, Zanzibar Urban West Region or West Zanzibar Region (Mkoa wa Mjini Magharibi in Swahili) is one of the 31 regions of Tanzania. The region covers an area of 230 km2 (89 sq mi). The region is located entirely on the island of Zanzibar and bordered to the west by the Indian Ocean, north by Unguja North Region and the east by Unguja South Region. The region is home to one of the seven World Heritage Sites located in Tanzania, namely; Stonetown of Zanzibar. The regional capital is Zanzibar City. The region is the most developed region with the highest human development index in Tanzania at 0.718. According to the 2012 census, the region has a total population of 593,678.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mjini Magharibi, Zanzibar: Mkandarasi aliyepewa mradi anatuumiza wananchi

    Kero yangu ni kucheleweshwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Alinato mpaka Posta inayojengwa na kampuni ya CRJE. Imefika miezi mitatu sasa haijafanyiwa marekebisho tangu walivyoichimbua. Wajasiriamali na wafanyabiashara wa maeneo haya tunateseka kwa muda sasa kwa kupisha mradi wa...
  2. Roving Journalist

    GE2025 Mjini Magharibi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Mjini Magharibi, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mjini Magharibi una jumla ya majimbo ya uchaguzi (17) ambayo ni: Malindi - Muhsin Ussi...
  3. A

    KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Zanzibar: Wanachama zaidi ya 200 na viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho. Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 ACT yamshtaki RC wa Mjini Magharibi kwa kutaka Watumishi wa Umma kumkabidhi nakala za Vitambulisho vyao vya Kupigia Kura

    YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza. Chama cha ACT-Wazalendo kinawasilisha rasmi malalamiko dhidi ya kauli na agizo lililotolewa na Mkuu wa...
  6. Waufukweni

    RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja. Hii inamaanisha...
  7. Roving Journalist

    Waziri Masauni ahitimisha ziara ya papo kwa papo, amtaka RPC Mjini Magharibi kukomesha kero ya wizi Kikwajuni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Mjini Magharibi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025

    Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B. Mkoa huu una wakazi takriban 893,169 kulingana na sensa ya mwaka 2022. Jimbo la Pangawe linaongoza kwa...
Back
Top Bottom