Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu:
msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi.
Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa.
Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
Sikilizeni hii wakuu,
Mtia nia nafasi ya ubunge Jimbo la Makambako kupitia chama cha mapinduzi jimbo la Makambako Deo Sanga akijibu swali la katibu wa mtaa wa bwawani umoja wa wanawake Grolia Nyaluke.
📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara .
📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima.
📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Julai 11,2025 wilayani Hanang amezindua rasmi mradi wa...
Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa jumla ya mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili 461 kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mara.
Akizungumza wakati wa...
WANANCHI WA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA WAIPONGEZA REA KWA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA KWA BEI YA RUZUKU
📌REA yaendelea na usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya Handeni mkoani Tanga.
📌Mitungi ya gesi ya kilo sita 26,040 kusambazwa mkoani...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa...
▪️Ni sehenu ya utekekezaji wa Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde leo amegawa Mitungi ya Gesi kwa Mamalishe, Zahanati na Hospitali Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya utekelezqji wa Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi...
Kwaniaba ya Rais Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekabidhi mitungi ya Gesi 1000, kwa Umoja wa Wajasiriamali wanaopika chakula Mkoani Arusha (Mamalishe na Babalishe), akiwasihi kuendelea kumuombea kheri kutokana na mapenzi yake makubwa...
Katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani Mkoa wa Singida, imeunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za kupambana na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati safi, kwa kutowa mitungi zaidi ya 29,000 kwa wanawake wa Mkoa wa Singida kwa bei nafuu ambayo ita...
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka ameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Mwanamke duniani ambapo kiwilaya ya Chunya yamefanyika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo.
Sambamba na hilo ametoa mitungi midogo ya gesi 100 kwa ajili ya Mama Lishe na kiasi cha Tsh...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira.
Mitungi hiyo imeuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi...
Kuna haja gani ya kuchangisha watumishi pesa ili mitungi ya gesi inunuliwe kwa pesa za watumishi kwa lengo la kutengeneza taswira kuwa mama katoa zawadi ya mitungi ya gesi kwa wananchi.
Kama mpango wa mwaka huu katika siku ya wanawake ilikuwa ni kutoa mitungi ya gesi kwanini hiyo budget...
Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni hatua kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima...
Nimeona hii qoute ya habari
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Advera mwijage amesema mitungi ya gesi 452,445 yanye gharama ya shilingi bilioni 8.64 inakwenda kusambazwa nchini ambapo kila wilaya itapata...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini.
Dkt. Mpango ni mgeni rasmi katika kuhitimisha mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha
Karibu kufuatilia kinachoendelea.
https://www.youtube.com/live/jEzBkft9o9g?si=uw038dewWr2M8B72
Akizungumzia ushirikishwaji wa kundi la wazee...
ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
Wakuu,
Kama lengo ni kuwatoa wananchi kutoka kutumia kuni na wahamie kwenye nishati safi, picha ya Samia inafanya nini kwenye mitungi hiyo?
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi...
Wakuu,
Majuzi kuna mdau aliweka uzi kuhusu mitungi ya gesi kugaiwa kwa masharti ya kutoa namba ya nida - Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA
Tunajua taarifa za nida zinatumika sehemu nyingi ikiwepo na kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.