Wakuu,
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia hii misamiati katika maisha yetu: "amani na usalama". Hata hivyo ni dhahiri kuwa jinsi tunavyofafanua misamiati hii katika maisha yetu ya kila siku, kunaweza kuwa na utofauti. Tunaposema kuwa tunaitakia nchi yetu amani na usalama, je tunamaanisha...