Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...