mishahara midogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chimbuko la uchawa ni mishahara midogo sana kazini

    Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
  2. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwatoa watoto wangu private primary school sababu walimu wao wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na ada tunayolipishwa

    Watoto wangu nimewaamishia Mlimani primary school iliyopo udsm ambayo ni english medium primary school inayomilikiwa na serikali Siamini kabisa kwenywe primary schools zinazomilikiwa na watu binafsi private school Nilikuwa nalipishwa Ada milioni 2 kwa mwaka , halafu walimu wanaomfundisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kero kuhusu ajira za muda kwa watumishi wa umma, hususan walimu

    Katika hali ya sasa ambapo ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania unazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka, inasikitisha kuona kwamba serikali bado inaajiri watumishi wa umma, hususan walimu, kushiriki kwenye ajira za muda kama vile kusimamia uchaguzi, sensa, au kuandikisha majengo. Hii imekuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wafanyabiashara wakigoma, kwa nini wafanyakazi nao wasigomee mishahara midogo? Serikali haiongezi mishahara kwa kiburi.

    Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara. Wafanyabiashara wamegoma na...
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma 586,000 wametwishwa mzigo wa kuhudumia Watanzania zaidi ya milioni 65. Kwanini serikali haiwalipi mishahara mizuri?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali. 1. Wizara na Idara(Serikali Kuu) 2. Mamlaka ya Serikali za Mitaa 3. Mashirika na Taasisi za Umma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wa mpira wa miguu katika vilabu vikubwa wanalipwa mishahara midogo?

    Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana. Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Watumishi Wengi Serikalini Wanalipwa Mishahara Midogo

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na kupanda kwa gharama za maisha. Kamati imeeleza hayo wakati ikiwasilisha bungeni jijini Dodoma...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…