AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME
Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148.
Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54).
Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...