MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) imetumia zaidi ya Shilingi bilioni 29 kukamilisha jumla ya miradi 18 ya maji safi na salama katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu.
, Mkurugenzi wa MAUWASA, Mhandisi Nandi Mathias, amesema kiasi hicho cha fedha...