Taarifa za ndani zinasema Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo mkoani Arusha, Godfrey Thomas ameshtakiwa kwa makosa ya Uhaini na Uchochezi.
Pamoja naye, lipo kundi kubwa la vijana ambalo idadi yake haijafahamika rasmi, lakini wote kwa pamoja walipandishwa kizimbani siku ya jana, Novemba 6, 2025...