milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA kodi haiwahusu mawinga wanaoingiza chini ya milioni 4

    "Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA Pia soma > TRA: Tumeongeza muda, mawinga wataanza kujisajili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  3. JamiiForums Tanzania Utashangaa CHAUMMA & ACT wamepata kura Milioni 3 kila mmoja!!

    Kimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
  4. JamiiForums Tanzania Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Diamond Platnumz akiwa ametupia mwilini zaidi ya Tsh. Milioni 659!

    Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada, Moncler, Louis Vuitton, Chrome Hearts, Balenciaga, na John Varvatos pamoja na mkufu wake wa Wasafi...
  6. JamiiForums Tanzania TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mchungaji apigwa faini ya Sh5 milioni kwa cyber bullying

    Mahakama ya Wilaya ya Kahama imemhukumu Mchungaji Shaniel Sosoa kulipa faini ya Sh5 milioni au kwenda Jela miaka mitatu kwa kosa la la uonevu mitandaoni (Cyber Bullying). Akizungumzia hukumu hiyo, Katibu wa Kanda ya Serengeti ya CHADEMA, Jackson Mnyawami, amesema Mchungaji Sosoa alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watanzania milioni 1.5 kunufaika na mradi wa misitu wenye thamani ya Euro milioni 20

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma TAKRIBANI watu milioni 1.5 kutoka Mikoa ya Iringa, Njombe, Ruvuma na Lindi wanatarajia kunufaika na mradi wa unaolenga kuboresha matumizi ya endelevu ya ardhi na kukuza uchumi wa ndani (FORLAND) wenye thamani ya Euro milioni 20. Mradi huo ambao wa miaka minne...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya MI CASA yaamriwa kulipa Tzs milioni 20 kwa kuvunja faragha ya mtu

    Katika hatua ya kusimamia Haki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi za watu nchini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeiamuru Kampuni ya MI CASA kumlipa Wakili Abdul Naumanga Milioni 20 kama fidia kwa kutumia picha na ‘video’ zake katika akaunti yao ya mtandao wa kijamii wa Instagram...
  15. JamiiForums Tanzania Mkandarasi huko Moshi ameingia mitini na Milioni 51 za askofu Shoo wa T.A.G

    Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo. Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Muhamiaji Haramu akiingilia Uchaguzi Faini Sh Milioni 5 au kifungo cha Miaka mitatu au vyote

    Mlishawahi baini wahamiaji haramu wakitaka kujihusisha na uchaguzi au amsuala ya kiasisa kiujumla mnafanyaje kwenye hili?? Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi, akifanya mahojiano na Kituo cha Shamba FM Radio anajibu... Pia soma ~ Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale House for sale, located at Mbweni mpigi Daressalaam Tanzania,price tsh 670m

    #houseforsale GOROFA LINAUNZWA INA VYUMBA VITANO VYA KULALA NA BYCOTA ENEO SQMT 1200 OFFER MILLION (670) MAONGEZ HAT IMENYOOKA LOCATION LOCATED AT MBWEN MPIGI 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yalia na idadi ya wapiga kura: "Hao milioni 2.6 wametoka wapi?"

    Mkurugenzi wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu amekosoa takwimu zilizotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa idadi ya wapiga kura mwaka huu inafikia zaidi ya 37.6, wakisema idadi hiyo inapingana na takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotoa idadi ya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watoto hawa niwafanyeje? Baada ya kuharibu TV sasa wamebamiza gari gharama za kurekebisha milioni 3

    Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu. Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo. Jirani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…