milioni 12

The Six Million Dollar Man is an American science fiction and action television series, running from 1973 to 1978, about a former astronaut, USAF Colonel Steve Austin, portrayed by Lee Majors. After a NASA test flight accident, Austin is rebuilt with superhuman strength, speed, and vision due to bionic implants and is employed as a secret agent by a fictional U.S. government office titled OSI. The series was based on Martin Caidin's 1972 novel Cyborg, which was the working title of the series during pre-production.Following three television films intended as pilots, which all aired in 1973, The Six Million Dollar Man television series aired on the ABC network as a regular episodic series for five seasons from 1974 to 1978. Steve Austin became a pop culture icon of the 1970s.
A spin-off television series, The Bionic Woman, featuring the lead female character Jaime Sommers, ran from 1976 to 1978. Three television movies featuring both bionic characters were also produced from 1987 to 1994.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  2. J

    Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  3. R

    Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  4. KANDA MBILI

    Zaidi ya milioni 12 posho za Mabalozi, Makatibu tawi na Makatibu kata zaliwa na katibu wa CCM(W) Missenyi CDE Bakari Mwacha

    Historia ya Cde Bakari inaendelea kumtafuna kwa alikotoka na ambako yupo. Alipokuwa kwenye sekretarieti kama katibu wa vijana Simanjiro alikuwa kikwazo sasa kwa wilaya ya Missenyi ndio kawa kikwazo kabisa kama bosi wa chama. Ndugu Katibu Mkuu najua utakuja Missenyi ila naomba kabla hujafika...
  5. Papasa

    Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  6. Analogia Malenga

    UNFPA: Wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufika miaka 18

    Umoja wa Mataifa unaoshughulika na Idadi ya Watu ‘UNFPA’ umesema wasichana milioni 12 duniani huolewa kabla ya kufikisha miaka 18 hali inayowaweka katika manyanyaso na hatari ya magonjwa Vifo vya uzazi vimetajwa kuwa vingi kwa wasichana wa umri kati ya miaka 15 hadi 19 kwa kuwa viungo vyao huwa...
  7. Ramon Abbas

    Plot4Sale Shamba la ekari 100 linauzwa kwa milioni 12

    Shamba la ekari 100 linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1) zao la korosho inakubali Sana hapo. SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida. Shamba linakubali sana zao la KOROSHO mazao mengine yanayokubali hapa ni karanga, alizeti, ufuta, njugu, mihogo...
  8. moyafricatz

    Wabunge msiotosheka na 12M, achieni ngazi young graduates wachukue nafasi zenu

    Wanabodi, Nimesikitishwa sana na kitendo cha yule Mbunge juzi kutoa hoja ya wao wabunge waongezewe mishahara maana wana kazi nyingi sana. Kama hilo halitoshi Mbunge yule ameenda mbali akisema hata malipo ya mishahara yao yafanyike kwa malipo ya dola za kimarekani. Kwa jinsi hasira zilivyokaba...
Back
Top Bottom