mikopo ya kausha damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ nitaanzisha mfuko maalumu ambao nitauwekea Shilingi bilioni 1 watu watakopa bila riba

    Haya unayayasema Bw Zitto yakawe kweli pindi utakapo chaguliwa. Lakini hiyo bilioni 1 mpaka utafute misaada mhhh! mbona naona zoezi hili litaishia njiani? ========================== "Ili kuepuka mikopo ya ‘kausha damu’ lazima kuwe na mbadala, na mbadala huo ni kuanzisha mfuko maalumu ambao...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Tutakomesha mikopo ya kausha damu

    Kausha damu inalea sana watu wengi mtaani, sasa Bw Zitto kusema utaiondoa naona ni kama ni uongo mtupu! ================ Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atakomesha mikopo ya kausha damu jimboni humo pindi akichaguliwa.
  3. A

    KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
  4. Just Pray

    GE2025 Mtia nia Ubunge Arusha: Mikopo ya kausha damu tutaifuta, najua mahali nitapata pesa zisizokuwa na riba

    Wakuu Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
  5. Mkalukungone Mwamba

    RC Shinyanga aonya Wanawake Mikopo ya kausha damu

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu wenye walemavu. Macha ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
  6. Just Pray

    DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia

    Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza. Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
  7. chrispny

    Walifungiwa app za mikopo walichokifanya ni kubadilisha majina ya hizo app na bado wanaendelea kufanya utapeli

    Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo. Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
  8. Waufukweni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  9. Right Marker

    ''Kausha damu" waliupisha upepo kisha wamerudi tena kwa kishindo

    Mhadhara - 43: Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
  10. Yoda

    Jinsi Afrika inavyoingia katika mtego wa mnyororo wa madeni kausha damu

    Mueleko wa nchi za Africa katika upande wa uchumi kuhusiana na madeni kwa miaka ya mbeleni sio mzuri sana. Nchi takribani 20 za Africa zinakabiliwa na changamoto kubwa ya madeni, hii ni kutokana na ukopaji wa juu sana katika miaka 10 iliyopita. Hali tayari imepelekea nchi 3 (Ghana, Zambia na...
Back
Top Bottom