Kwa niaba ya wafanyabioshara wa Kariakoo-Dar, kata ya Kariakoo, mtaa wa Kariakoo Magharibi, tunaomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa mchakato wa usajiri na utoaji vyeti kwa vikundi vilivyo kidhi vigezo kulingana na taratibu husika kuchukua hatua dhidi wa Afisa Maendeleo- kata ya kariakoo...