mikononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kesi ya Mbowe na wenzake imetufumbua macho, haki za Watanzania zipo mikononi mwa Jeshi la polisi

    Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania. Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
  2. SoC01 Mafanikio yapo mikononi mwako

    Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
  3. Uhuru wa Mtanzania wa kuishi na kimaendeleo upo mikononi mwa dola au yeye mwenyewe?

    Wanna jamvi? Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia. Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
  4. P

    Swali kwa Msajili wa vyama:Nidhamu ya mwanachama yeyote ipo mikononi mwa nani?

    Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa, CCM, CUF, CHADEMA NK Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama? Je, usajili wa chama huwa mwanachama mmojammoja huamua tu kuja kusajili chama? Chama cha siasa na Msajili nani...
  5. Wanawake wanaharibika mikononi mwangu

    Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe. Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…