mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

    Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini? === Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
  2. B

    Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

    Ee bhana hii issue mmoja yupo DSM mwingine yupo Dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja Dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba talaka. Hii nimeona nishare hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…