Maeneo;
Maeneo yote maarufu kwa uchimbaji wa madini ya DHAHABU katika kila mkoa kwa nchi nzima ya TANZANIA.
Kwa hapa tanzania mikoa/sehemu ambazo zina madini ya DHAHABU kwa wingi ni Geita ( nyarugusu, mgusu, nyaruyeye, buzibwa, iseni na lwamgasa n.k), shinyanga ( kahama, mwime, bulyanhulu...