miezi miwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RESOLVED DAWASA warekebisha bomba karibu na Kituo cha Daladala Gongo la Mboto lililovuja zaidi ya miezi miwili

    Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeshughulikia changamoto hiyo. Mafundi wa DAWASA wamefika eneo la...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu). Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa kwani mambo ni mengi. Tusubiri kusikia Lema atajibu/atasema nini kuhusu tuhuma hizi. Moderator...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Mkataba Temeke hatujalipwa mshahara ya mwezi Agosti hadi sasa

    Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka. Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida tuna miezi miwili bila kupata huduma ya maji

    Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata kabla ya kipindi hiki, maji yalikuwa yakitoka kwa kusuasua, mara moja tu kwa wiki au wakati mwingine...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  6. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  8. JamiiForums Tanzania Ninaishauri serikali iondoe VAT na ushuru (excise duty) kwenye petrol na dizeli kwa miezi miwili

    Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Dickson Job nje zaidi ya miezi miwili kisa majeraha

    Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  11. JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  13. JamiiForums Tanzania Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka gharama na kutoa fursa ya kupumzika, nashauri hii kesi iwe inaahirishwa kwa muda wa miezi miwili

    Hiyo itatoa muda muafaka kwa Kila upande kujiandaa na hivyo kutoa hukumu kwa muda muafaka. Nikiongezea hapo, nashauri hii kesi ya uhaini inayoendelea ikamilike ifikapo mwezi wa nne (Aprili) mwakani kwa utaratibu huu mpya ninaouomba (yaani kwa maghairosho ya miezi miwili miwili). Kwa maneno...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  16. JamiiForums Tanzania Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  17. JamiiForums Tanzania Nachelea kusema kuwa hii nchi kuna mambo ajabu. Ni miezi miwili Sasa Kila siku redioni na magazetini wanajadili mechi ya simba na yanga

    Asubuhi ukifungulia redio kwa masaa zaidi ya 2 utasikia wanajadili mechi ya simba na yanga. Wanajadili jambo hilohilo kila siku. Wakibadili mada basi italetwa mada ya kamari. Mara cheza pesa, tatu mashetani, weka butua. Failed state Failed leadership Failed citizens
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  19. JamiiForums Tanzania Itakuwa haina maana unakaa miezi miwili hujapigwa Ban? Are you dead? Huo ni Uzwazwa

    JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Benchi la ufundi Singida Black Stars ladai mishahara ya miezi miwili

    Inadaiwa kuwa benchi la ufundi la Singida Black Stars halijalipwa mshahara kwa miezi miwili hadi sasa. Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo umetoa kipaumbele kwa mishahara ya wachezaji, huku benchi la ufundi likikabiliwa na hali ngumu, hasa wakati huu wa kuelekea Sikukuu ya Eid.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…